Huyo ni Yesu

Huyo ni Yesu a song by Ambassadors Of Christ Choir on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Huyo ni Yesu by Ambassadors Of Christ Choir

Huyo ni Yesu Lyrics

Nimekupata yesu nimepata yote nimekupata bwana sitahitaji tena
wewe ndiwe hitaji langu ngome yangu na mwamba tegemeo langu katika hali zote
Jaza moyo wangu upendo nikupende urafiki wa kweli nifundishe kupenda bwana
Maana upendo wako ndio pekee waweza kunifanya kiumbe kipya nikakufuate
Natamani nitembee katika upendo wa bwana
Natamani nitembee katika upendo wa bwana Upendo ule wa dhati
Upendo usiobagua Upendo uletao hekima busara na amani Upendo wa kibingu pekee ulio bora
Wapenzi wa dunia wengi wadanganyifu niwapo katika hali nzuri tuko wote
Lakini katika matatizo wote wanikimbia wewe nimekupata nitakushikilia

Stats

From the album: Kwetu Pazuri