Umenifunza

Umenifunza a song by D Voice on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Umenifunza by D Voice

Umenifunza Lyrics

[00:18.19] Ulo mpata anaupiga mwingi
[00:20.94] Sio siri umenawiri
[00:23.63] Rangi mashallah kampe hongera zake
[00:27.78] Bato siwezi amenzidi vingi
[00:30.99] Mwenzangu tajiri
[00:33.00] Mi kapuku mlala njaa aah!
[00:35.32] Sijafika level zake
[00:37.82] Mi hali yangu pangu pakavu
[00:40.63] Riziki yangu ndondondo
[00:43.11] Nilicho jaliwa malavudavu
[00:45.59] Ila kipato ndo mchongo
[00:47.96] Mwenzangu kanizidi ubavu
[00:50.27] Mi kijiti ye nondo
[00:52.64] Ningewazeje kutoa madafu
[00:55.31] Wakati mi mpera si uongo
[00:57.47] Lakini nimemisi nimemisi kukuona kwangu
[01:03.12] Yalaiti nami Mungu angenipa fungu langu
[01:07.62] Labda usinge chitiii
[01:10.24] Kama muhuni ningekuwa na vyangu
[01:12.64] Ila atabariki nami Mungu atajibu maombi yangu
[01:17.61] Ila umenifunza umasikini mbaya
[01:22.06] Umenifunza umasikini mbaya
[01:26.78] Umenifunza umasikini mbaya
[01:32.03] Umenifunza umasikini mbaya
[01:45.66] Na huyo ulompata usimuache
[01:48.96] Maana anakupa nilivyovikosa mimi
[01:51.89] Mungu awabariki fungate
[01:53.93] Muwe wahalali awaepushie kuzini
[01:56.57] Wala mwambie asikuchape
[01:58.67] Aku! Mbona siku kuchapa mimi
[02:01.35] Na we ujeuri uache
[02:03.76] Mpe sifa mama uchunge yako ndimi
[02:06.61] Siwezi sema nimesusa ntakuwa muongo
[02:11.67] Kama ikitokea fursa mi bado niko singo
[02:16.33] Hamu mwenzako kimejaa kichupa pakumwagia songombingo
[02:21.21] Nisamehe ka mstari na uvuka
[02:23.68] Maji yamenifika kwa shingo
[02:26.05] Maana nimemisi nimemisi kukuona kwangu
[02:31.03] Yalaiti nami Mungu angenipa fungu langu
[02:35.51] Labda usinge chiti kama muhuni ningekuwa na vyangu
[02:40.56] Ila atabariki nami Mungu atajibu maombi yangu
[02:45.62] Ila umenifunza umasikini mbaya
[02:50.18] Umenifunza umasikini mbaya
[02:54.81] Umenifunza umasikini mbaya
[02:59.87] Umenifunza umasikini mbaya
[03:29.88]

From the album: Swahili Kid