Bembeleza

Bembeleza a song by Marlaw on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Bembeleza by Marlaw

Bembeleza Lyrics

[00:07.72] Nipesa simu nibembeleze
[00:08.33] Hey Hey hello Ma
[00:13.81] Laiti ungekuwa unaniona
[00:16.05] Vile kila time nakonda nawaza
[00:18.98] Kama kukupata nitaweza
[00:21.50] Jinsi gani kukueleza
[00:24.09] Au mi sijui bembeleza
[00:26.69] Usinikatae utaniumiza
[00:28.85] Nakupenda kukutenda sitoweza
[00:32.24] Kila time nakuangalia usoni ma
[00:35.19] Sio kamaa nakosa neno kusema
[00:37.65] Ulivyo ma anafanya kosa kunena
[00:40.41] Ingawa moyo hautaki kunena tena
[00:42.70] Wazo kichwani lina beep (kukueleza)
[00:45.35] Ila vibaya ukinijibu (bembeleza)
[00:47.73] Nahisi sijui bembeleza
[00:50.12] Utakataa halafu mi utaniumizaa
[00:53.65] Kidesign nakuangalia usoni ma
[00:56.38] Kuna sign za kuita huko machoni ma
[00:58.94] Kitu fulani umehifadhi huko moyoni ma
[01:01.68] Unachotaka nianze mikusema
[01:04.04] Hapa unafanya nijione (nitashinda)
[01:06.74] Hapa unafanya nitamke (nakupenda)
[01:09.49] Ilaunacho jibu mdomoni nitofauti nausemacho machoni
[01:14.89] We Dada mi unaniumiza
[01:18.16] We dada sijamaliza
[01:20.04] Mbona unakata simu
[01:21.92] Please usikate ma
[01:25.14] Hey hey hello ma
[01:27.67] Laiti ungekuwa unaniona
[01:30.45] Vile kila time nakonda nawaza
[01:32.76] Kama kukupata nitaweza
[01:35.91] Jinsi gani kukueleza
[01:38.86] Au mi sijui kubembeleza
[01:40.70] Usinikatae utaniumiza
[01:43.39] Nakupenda kukutenda sitoweza
[01:46.17] Hello ma
[01:49.48] Laiti ungekuwa unaniona
[01:51.68] Vile kila time nakonda nawaza
[01:54.32] Kama kukupata nitaweza
[01:56.92] Jinsi gani kukueleza
[01:59.87] Au mi sijui kubembeleza
[02:02.47] Usinikatae utaniumiza
[02:04.54] Nakupenda kukutenda sitoweza
[02:07.27] Kati yetu imetawala rangi ya pinki (pink)
[02:10.71] Kitu ambacho moyoni siridhikii
[02:13.77] Nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki
[02:16.49] Inajionyesha machoni unaafiki
[02:18.47] Lugha ya macho kwa sasa (nakataa)
[02:21.16] Tataka tuongee ilitufikie (mwafaka)
[02:23.83] Oooh aaah, aaah
[02:29.25] Kwenye party ulikuja umependeza
[02:31.80] Kwenye traini ukaniomba mi kucheza
[02:34.89] Tukadance na macho umelegeza
[02:37.25] Ulinibamba nikaficha kukueleza
[02:39.99] Unanimaliza
[02:41.43] Mimi ninakweleza
[02:42.69] Minakupembeleza
[02:43.52] Baby please baby girl
[02:45.17] Vile unatamka
[02:46.56] Wewe kuona nataka
[02:47.77] Tuonge ana kwa ana
[02:49.12] Baby please baby girl
[02:50.95] We Dada mi unaniumiza
[02:52.74] We dada sijamaliza
[02:56.02] Mbona unakata simu
[02:59.65] Please usikate ma
[03:00.80] Hey hey hello ma
[03:03.30] Laiti ungekuwa unaniona
[03:06.52] Vile kila time nakonda nawaza
[03:09.03] Kama kukupata nitaweza
[03:11.34] Jinsi gani kukueleza
[03:14.59] Au mi sijui kubembeleza
[03:17.28] Usinikatae utaniumiza
[03:19.47] Nakupenda kukutenda sitoweza
[03:22.56] Hello ma
[03:25.60] Laiti ungekuwa unaniona
[03:27.83] Vile kila time nakonda nawaza
[03:30.64] Kama kukupata nitaweza
[03:33.27] Jinsi gani kukueleza
[03:35.90] Au mi sijui kubembeleza
[03:38.79] Usinikatae utaniumiza
[03:41.11] Nakupenda kukutenda sitoweza
[03:44.09] Hooow (hooow)
[03:47.36] Sasa kama (kama)
[03:52.85] Umenielewa mbona
[03:58.40] Unachelewa sana
[04:00.90] Nambie nije, nije sasa hivi
[04:05.54] Umenielewa mbona
[04:08.31] Unachelewa sana
[04:11.77] Nambie nije, nije sasa hivi
[04:16.30]

From the album: Sungura Na Fisi