Agano

Agano a song by Christina Shusho on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Agano by Christina Shusho

Agano Lyrics

[00:22.07] Ufanye imara, agano
[00:26.71] Ufanye imara, agano
[00:31.17] Eh Bwana Eh Bwana Eh Bwana weeh
[00:38.08] Ufanye imara, agano
[00:42.02] Ufanye imara, agano
[00:47.97] Eh Bwana
[00:51.00] Ufanya hima, na agano
[00:53.45] Nami, ewe Bwana
[00:54.35] Ufanye imara, agano (eeeh Yesu)
[00:59.55] Ufanye imara, agano (eeeh Bwana)
[01:04.07] Eh Bwana
[01:06.27] 'tangulie Bwana
[01:10.04] Tengeneza palipo paruzwa
[01:12.47] Oh Bwana, nisaidie
[01:17.08] Ufanye imara, agano
[01:23.08] Ufanye imara, agano
[01:27.33] Eh Bwana
[01:28.73] Kama ulivyo tembea nami
[01:30.68] Tembea na wana wa wanangu
[01:32.67] Kama ulivyo nibariki
[01:35.83] Bariki na uzao wangu
[01:38.07] Kama ulivyo nilinda
[01:41.42] Ulinda na taifa langu
[01:43.96] Kama ulivyo nisimamia
[01:46.40] Simamia na kazi ya mikono yangu
[01:49.27] Ufanye imara, agano
[01:55.53] Ufanye imara, agano
[01:59.67] Eh Bwana
[02:01.57] Ufanye imara, agano (eeh Bwana)
[02:05.22] Ufanye imara, agano (eeeh Yesu)
[02:11.10] Eh Bwana
[02:12.73] Vunja vunja pande
[02:15.92] Milango ya shaba
[02:18.98] Ufanye imara, agano
[02:22.32] Ufanye imara, agano
[02:28.03] Eh Bwana
[02:29.84] Kama ulivyo niongoza
[02:42.43] Ongoza na kanisa lako
[02:45.50] Kama ulivyo niponya
[02:48.19] Uponye na nyumba yangu
[02:50.59] Kama ulivyo niinua
[02:53.16] Inua na uzao wangu
[02:56.16] Wasiabudu miungu mingine
[02:58.63] Ila Mungu moja, Jehova
[03:01.64] Wasitafute nguvu kwingine
[03:04.65] Isipo kuwa kwako tu
[03:07.92] Ufanye imara, agano
[03:13.47] Ufanye imara, agano
[03:18.19] Eh Bwana
[03:19.20] Ufanye imara, agano(Baaba)
[03:23.94] Ufanye imara, agano(Yesu, eeeh Yesu)
[03:29.00] Eh Bwana
[03:31.37] Nipee hazina za gizani
[03:33.06] Na mali zilizofichwa
[03:35.67] Ufanye imara, agano (nikujue zaidi)
[03:40.97] Ufanye imara, agano
[03:45.23] Eh Bwana
[03:46.80] Nikwitaye kwa jina lako
[03:50.74] Mungu wa Israeli
[03:52.20] Ufanye imara, agano(Baaaba)
[03:57.32] Ufanye imara, agano(eeeeh Baaba)
[04:02.23] Eh Bwana
[04:04.64] End of lyrics
[04:13.04]

From the album: Hararat