Umenibeba
Umenibeba a song by Godwill Babette on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone
Umenibeba Lyrics
[00:10.21] Shamma we ni Jehovah dear
[00:19.89] Umenibeba juu Halleluyah
[00:28.41] Umenijenga juu ya Mwamba
[00:37.02] Mungu umejaa wema na mapendo
[00:45.60] Nimeona uzuri wako ooh
[00:54.43] Nani wa kufanana na Ebenezer, Mungu wa Israeli
[01:03.55] Wa kupenda na kuchukua ni wewe Jehovah
[01:11.60] Umenifanya mrithi wa kusudi lako wema kabisa eeh
[01:20.82] Nimtumaini yeye yeeh
[01:23.52] Yeye nani ila, ila Ebenezer
[01:30.05] Umenibeba juu Halleluyah
[01:38.52] Umenijenga juu ya Mwamba
[01:47.36] Mungu umejaa wema na mapendo oh
[01:55.40] Nimeona uzuri wako ooh
[02:04.69] Na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi
[02:13.15] Tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
[02:21.88] Nafsi yangu ninakupatia ifinyange
[02:31.09] Nitalinda moyo wangu uh ukufwate
[02:40.15] Umenibeba juu Halleluyah
[02:49.04] Umenijenga juu ya Mwamba
[02:57.94] Mungu umejaa wema na mapendo oh
[03:06.24] Nimeona uzuri wako ooh
[03:15.44] Sifa na ibada nyimbo za utukufu
[03:24.08] Yote kwako moyoni mwangu natoa
[03:33.04] Sifa na ibada nyimbo za utukufu
[03:41.61] Yote kwako moyoni mwangu natoa
[03:50.47] Sifa na ibada nyimbo za utukufu
[03:59.32] Yote kwako moyoni mwangu natoa
[04:07.92] Umenibeba juu Halleluyah
[04:16.94] Umenijenga juu ya Mwamba
[04:25.36] Mungu umejaa wema na Mapendo oh
[04:33.87] Nimeona uzuri wako ooh
[04:40.90] (Umenibeba) umenibeba juu (umenibeba, umenibeba)
[04:51.88] Umenijenga juu ya Mwamba
[05:00.02] Mungu umejaa wema na mapendo oh
[05:09.13] Nimeona uzuri wako ooh
[05:17.88] Nimeona uzuri wako
[05:26.48]

From the album: Umenibeba
-
Egemeo by Godwill Babette , -
Umenibeba by Godwill Babette , -
Watawala by Godwill Babette , -
Tunakusujudia by Godwill Babette , -
Mtetezi by Godwill Babette , -
Forever More by Godwill Babette , -
We Love Yhwh by Godwill Babette ,