Dunia Ina Mambo

Dunia Ina Mambo a song by Just a Band on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Dunia Ina Mambo by Just a Band

Dunia Ina Mambo Lyrics

[00:06.38] Oh oh
[00:08.95] Dunia ina mambo bana
[00:10.69] Usishangae sana, sana
[00:12.92] Tena sana, sana (eh ehe eh)
[00:16.28] Hata mimi nashanga bana
[00:22.53] Ukiniona waniona na aibu sana
[00:25.08] Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana
[00:27.65] Siku hizi naogopa kuomba Bwana
[00:29.93] Juu hata mifuko za wakora zaimba Hosana
[00:32.68] Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki
[00:35.88] Nikalimwa na asali
[00:37.55] Weka tumbo mbele wacha akili nyuma
[00:39.66] Maiti kavalia
[00:40.76] Walisema sikuskia, ooh
[00:42.55] Mama na baba walinighusia ewe kijana
[00:46.16] Kuwa mwanangu jionee
[00:49.12] Dunia ina mambo
[00:50.99] Yao sikuyasikiza
[00:53.33] Sasa mimi najuta
[00:55.65] Kweli najionea
[00:57.84] Dunia ina mambo
[01:00.08] Hey
[01:01.03] Dunia ina mambo ooh
[01:03.02] Dunia ina mambo
[01:04.54] (Dunia ina mambo bana)
[01:05.60] Dunia ina mambo ooh
[01:07.59] Dunia ina mambo
[01:08.97] (Dunia ina mambo sana)
[01:10.52] Dunia ina mambo ooh
[01:12.43] Dunia ina mambo
[01:13.62] (Dunia ina mambo bana)
[01:14.91] Dunia ina mambo ooh
[01:16.79] Dunia ina mambo
[01:18.41] Dunia ina mambo ooh
[01:20.04] Nafunga bao
[01:20.87] Niite pita dao
[01:21.95] Ubaya ya binadamu
[01:22.92] Ni rahisi kusahau
[01:24.52] Changu ni chetu
[01:25.48] Lakini Chako ni chako
[01:26.89] Mtu wangu ah aah wacha vako
[01:29.10] Marafiki wamekuwa manafiki bana
[01:31.43] Najionea tena kushangaa sana
[01:33.66] Niliacha kuwa mjinga, (nini)
[01:34.96] Ati sasa najiringa
[01:36.19] Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado
[01:38.82] Walinambia kijana
[01:40.48] Jihadhari na 'limwengu
[01:42.88] Hao walimwengu si wazuri kwako kijana
[01:47.36] Yao sikuyasikiza
[01:49.93] Sasa mimi najuta
[01:52.03] Kweli najionea
[01:54.44] Dunia ina mambo
[01:56.27] Hey
[01:57.35] Dunia ina mambo ooh
[01:59.79] Dunia ina mambo
[02:01.08] (Dunia ina mambo bana)
[02:02.33] Dunia ina mambo ooh
[02:03.96] Dunia ina mambo
[02:05.60] (Dunia ina mambo sana)
[02:06.77] Dunia ina mambo ooh
[02:08.98] Dunia ina mambo
[02:10.41] (Dunia ina mambo bana)
[02:11.57] Dunia ina mambo ooh
[02:13.20] Dunia ina mambo
[02:14.95] Dunia ina mambo ooh
[02:16.54] Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana
[02:20.55] Watakusifu -ooh wewe kijana mzuri
[02:24.97] Dunia ina mambo ooh
[02:27.97] Dunia ina mambo
[02:30.24] Ukiwa hunao wengi wanakukimbia
[02:34.97] Na mengi kusema wewe kijana mbaya
[02:39.27] Dunia ina mambo ooh
[02:41.99] Dunia ina mambo
[02:43.33] (Dunia ina mambo)
[02:45.58]
[03:12.73] Dunia ina mambo ooh
[03:14.98] Dunia ina mambo
[03:16.16] (Dunia ina mambo bana)
[03:17.52] Dunia ina mambo ooh
[03:19.67] Dunia ina mambo
[03:20.72] (Dunia ina mambo sana)
[03:22.16] Dunia ina mambo ooh
[03:24.10] Dunia ina mambo
[03:25.47] (Dunia ina mambo bana)
[03:26.83] Dunia ina mambo ooh
[03:28.96] Dunia ina mambo
[03:30.16] Dunia ina mambo ooh ooh wo wo wo wo wo wo
[03:39.41] Dunia ina mambo
[03:41.89] Dunia ina mambo
[03:44.43] Dunia ina mambo
[03:46.62] Ah aah aaah
[03:48.17] Ah aah aaah
[03:59.52]

From the album: #NuNairobi - Kenya's Music Hub