Kuliko Jana

Kuliko Jana a song by Sauti Sol on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Kuliko Jana by Sauti Sol

Kuliko Jana Lyrics

[00:23.83] Bwana ni mwokozi wangu
[00:26.87] Tena ni kiongozi wangu
[00:29.46] Ananipenda leo kuliko jana
[00:35.26] Baraka zake hazikwishi
[00:37.72] Si kama binadamu habadiliki
[00:41.44] Ananipenda leo kuliko jana
[00:47.12] Kuliko jana
[00:50.27] Kuliko jana
[00:53.01] Yesu nipende leo kuliko jana
[00:58.75] Kuliko jana
[01:01.68] Kuliko jana
[01:04.63] Yesu nipende leo kuliko jana
[01:10.79] Nakuomba Mungu uwasamehe
[01:16.65] Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
[01:22.46] Na maadui wangu nawaombea maisha marefu
[01:29.81] Wazidi kuona ukinibariki
[01:34.08] Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
[01:40.07] Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
[01:43.51]
[01:46.19] Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
[01:51.71] Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita
[01:56.50] Ooh, na
[01:57.52] Bwana ni mwokozi wangu
[02:00.39] Tena ni kiongozi wangu
[02:03.46] Ananipenda leo kuliko jana
[02:08.92] Baraka zake hazikwishi
[02:11.53] Si kama binadamu habadiliki
[02:14.95] Ananipenda leo kuliko jana
[02:20.60] Kuliko jana
[02:23.92] Kuliko jana
[02:26.74] Yesu nipende leo kuliko jana
[02:32.10] Kuliko jana
[02:35.54] Kuliko jana
[02:38.32] Yesu nipende leo kuliko jana
[02:44.47] Wewe ndio nategemea
[02:46.41] Kufa kupona baba nakutegemea (Amen)
[02:50.13] Chochote kitanikatsia
[02:52.22] Kuingia mbinguni utaniondolea (Ooh-ooh, yeah)
[02:56.23] Wewe ndio nategemea (Amen)
[02:58.51] Kufa kupona baba nakutegemea (Oh-oh)
[03:01.94] Chochote kitanikatsia
[03:04.18] Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, wewe ndio nategemea)
[03:08.30] Wewe ndio nategemea
[03:10.28] Kufa kupona baba nakutegemea (Eh, bwana)
[03:13.68] Chochote kitanikatsia
[03:15.85] Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
[03:19.74] Wewe ndio nategemea (Kwa nguvu zangu zote)
[03:21.79] Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea)
[03:25.44] Chochote kitanikatsia
[03:27.41] Kuingia mbinguni utaniondolea (Oh-oh-oh-oh)
[03:30.89] Na bwana ni mwokozi wangu
[03:33.75] Na tena ni mkombozi wangu
[03:37.12] Ananipenda leo kuliko jana
[03:42.42] Baraka zake hazikwishi
[03:45.04] Si kama binadamu habadiliki
[03:48.88] Ananipenda leo kuliko jana
[03:54.34] Kuliko jana (Kuliko jana)
[03:59.18] Kuliko jana
[04:00.34] Yesu nipende leo kuliko jana
[04:04.28]
[04:06.34] Kuliko jana (Kuliko jana)
[04:09.39] Kuliko jana (Kuliko jana)
[04:12.09] Yesu nipende leo kuliko jana
[04:17.85] Wewe ndio nategemea (Wewe)
[04:20.34] Kufa kupona baba nakutegemea (Wewe)
[04:23.91] Chochote kitanikatsia (Uh-huh)
[04:26.33] Kuingia mbinguni utaniondolea
[04:29.76] Wewe ndio nategemea (Ooh)
[04:32.05] Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea)
[04:35.65] Chochote kitanikatsia
[04:37.70] Kuingia mbinguni utaniondolea
[04:41.06] Na bwana ni mwokozi wangu (Amen)
[04:44.01] Tena ni mkombozi wangu (Amen)
[04:47.20] Ananipenda leo kuliko jana (Amen)
[04:52.86] Baraka zake hazikwishi (Amen)
[04:55.38] Si kama binadamu habadiliki (Amen)
[04:58.87] Ananipenda leo kuliko jana (Amen)
[05:04.92] Kuliko jana
[05:07.72] Kuliko jana
[05:11.37] Nipende leo kuliko jana
[05:16.34]

From the album: Live and Die in Afrika