Akida
Akida a song by Zabron Singers on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone
Akida Lyrics
Namtapta bwana yule yule wa ushindi
Mi ndio peke najua wapi alikonitoa
Nina historia uzoefu wa ushindi
Kwa macho nimeona Mungu alivyonibeba
From zero to hero from nothing to something
Nami leo ni mtu katikati ya watu
Hakuna kama Mungu
Hii dunia alitamka ikawa ikatokea
Umbali tumefika ni huyu Yesu
Asingekuwa Mungu singefika hapa
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Heee kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma bwana sema neno
Hapa nilipo heee hapa nilipo
Yesu hapa nilipo heee bwana hapa nilipo
Shida zangu zitakoma
Akida aliishi na mtumwa aliye mpenda
Ka uguwa akia sijatakufa
Aka tumawa zee wamwite Yesu aje nyumbani mwake
Heee alipotumawa zee wamwite Yesu nyumbani mwake aje
Ili amponye huyu mtumwa wake
Kabla afike tena akatuma wajumbe
Yesu wala usijisumbue
Kufika nyumbani kwa akida
Sema neno tu hapo ulipo
Na mtumwa atapona
Yesu aka ugeukia mkutano
Kawaambia sijaona
Israel hii yote sijaona
Imani kubwa kama hii
Walipofika nyumbani kule
Nyumbani kwa yule akida
Walimkuta mtumwa yule tayari keshapona
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Heee kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Mi ndio peke najua wapi alikonitoa
Nina historia uzoefu wa ushindi
Kwa macho nimeona Mungu alivyonibeba
From zero to hero from nothing to something
Nami leo ni mtu katikati ya watu
Hakuna kama Mungu
Hii dunia alitamka ikawa ikatokea
Umbali tumefika ni huyu Yesu
Asingekuwa Mungu singefika hapa
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Heee kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma bwana sema neno
Hapa nilipo heee hapa nilipo
Yesu hapa nilipo heee bwana hapa nilipo
Shida zangu zitakoma
Akida aliishi na mtumwa aliye mpenda
Ka uguwa akia sijatakufa
Aka tumawa zee wamwite Yesu aje nyumbani mwake
Heee alipotumawa zee wamwite Yesu nyumbani mwake aje
Ili amponye huyu mtumwa wake
Kabla afike tena akatuma wajumbe
Yesu wala usijisumbue
Kufika nyumbani kwa akida
Sema neno tu hapo ulipo
Na mtumwa atapona
Yesu aka ugeukia mkutano
Kawaambia sijaona
Israel hii yote sijaona
Imani kubwa kama hii
Walipofika nyumbani kule
Nyumbani kwa yule akida
Walimkuta mtumwa yule tayari keshapona
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Yani kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
Heee kama akida bwana utamke neno tu
Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
Hapa nilipo shida zangu zitakoma
From the album: Akida
-
Unaendeleaje by Zabron Singers , -
Kaniona by Zabron Singers , -
Mbali Sana by Zabron Singers , -
Nimeuona Bwana by Zabron Singers , -
Akida by Zabron Singers , -
Imeniuma Sana by Zabron Singers , -
Jivunie Chako by Zabron Singers , -
Ombi Langu by Zabron Singers , -
Bhamagaka by Zabron Singers ,