Bado Nakuamini - Live
Bado Nakuamini - Live a song by Neema Gospel Choir on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone
Bado Nakuamini - Live Lyrics
Nianze na wewe
Nimalize na wewe
Safari yangu
Niongozwe na wewe
Nianze na wewe
Nimalize na wewe
Safari yangu
Niongozwe na wewe
Baba nianze
Nianze na wewe
Nimalize
Nimalize na wewe
Hii safari
Safari yangu
Yahwe
Niongozwe na wewe
Iih Nianze
Nianze na wewe
Nianze
Nimalize na wewe
Hii safari
Safari yangu
Yahwe
Niongozwe na wewe
Baba nianze
Nianze na wewe
Nimalize
Nimalize na wewe
Safari yangu
Safari yangu
Yesu
Niongozwe na wewe
Baba nianze
Nianze na wewe
Nianze
Nimalize na wewe
Hii safari
Safari yangu
Niongozwe na wewe
Baba ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Ukiniacha
Ukiniacha nitaangamia
Baba ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Usiruhusu
Usiruhusu yatokee haya
Baba ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Ukiniacha
Ukiniacha nitaangamia
Yesu ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Usiruhusu yatokee haya
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Msaada wangu
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Wewe tu, wewe tu
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Msaada wangu
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Wewe tu, wewe tu
Kimbilio
Kimbilio langu
Niwewe baba
Umebaki mwenyewe
Wewe ndiwe msaada wangu
Msaada wangu
Niwewe
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Umebaki mwenyewe
Ni wewe
Wewe tu, wewe tu
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Ngome yangu ni wewe
Umebaki mwenyewe
Faraja yangu ni wewe
Msaada wangu
Msaada wangu ni wewe
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Eeh yahwe
Umebaki mwenyewe
Wewe tu
Wewe tu, wewe tu
Haleluya
Wewe ndiwe kimbilio la karibu yangu Bwana
Wewe ndiwe msaada wangu katika changamoto zote
Yaje magumu wewe ni msaada wangu
Zije changamoto nakutazama wewe Yesu
Bado nakuamini Bwana
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bwana wangu Yesu
Bado ninakuamini
Nakuamini
Bado ninakuamini
Nikipita kwenye majaribu
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Wewe peke yako Bwana
Bado ninakuamini
Nitasema wewe ndio kimbilio langu
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Unaenisaidia kila wakati
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ewe Yesu
Wewe kimbilio langu
Wewe msaada wangu
Mfariji wangu nyakati zote
Hujawahi niacha
Eh Yesu we
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Nimalize na wewe
Safari yangu
Niongozwe na wewe
Nianze na wewe
Nimalize na wewe
Safari yangu
Niongozwe na wewe
Baba nianze
Nianze na wewe
Nimalize
Nimalize na wewe
Hii safari
Safari yangu
Yahwe
Niongozwe na wewe
Iih Nianze
Nianze na wewe
Nianze
Nimalize na wewe
Hii safari
Safari yangu
Yahwe
Niongozwe na wewe
Baba nianze
Nianze na wewe
Nimalize
Nimalize na wewe
Safari yangu
Safari yangu
Yesu
Niongozwe na wewe
Baba nianze
Nianze na wewe
Nianze
Nimalize na wewe
Hii safari
Safari yangu
Niongozwe na wewe
Baba ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Ukiniacha
Ukiniacha nitaangamia
Baba ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Usiruhusu
Usiruhusu yatokee haya
Baba ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Ukiniacha
Ukiniacha nitaangamia
Yesu ukiniacha
Ukiniacha nitapotea Bwana
Usiruhusu yatokee haya
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Msaada wangu
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Wewe tu, wewe tu
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Msaada wangu
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Wewe tu, wewe tu
Kimbilio
Kimbilio langu
Niwewe baba
Umebaki mwenyewe
Wewe ndiwe msaada wangu
Msaada wangu
Niwewe
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Umebaki mwenyewe
Umebaki mwenyewe
Ni wewe
Wewe tu, wewe tu
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Ngome yangu ni wewe
Umebaki mwenyewe
Faraja yangu ni wewe
Msaada wangu
Msaada wangu ni wewe
Umebaki mwenyewe
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Eeh yahwe
Umebaki mwenyewe
Wewe tu
Wewe tu, wewe tu
Haleluya
Wewe ndiwe kimbilio la karibu yangu Bwana
Wewe ndiwe msaada wangu katika changamoto zote
Yaje magumu wewe ni msaada wangu
Zije changamoto nakutazama wewe Yesu
Bado nakuamini Bwana
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bwana wangu Yesu
Bado ninakuamini
Nakuamini
Bado ninakuamini
Nikipita kwenye majaribu
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Wewe peke yako Bwana
Bado ninakuamini
Nitasema wewe ndio kimbilio langu
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Unaenisaidia kila wakati
Bado ninakuamini
Ninakuamini
Bado ninakuamini
Ewe Yesu
Wewe kimbilio langu
Wewe msaada wangu
Mfariji wangu nyakati zote
Hujawahi niacha
Eh Yesu we
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
Bado ninakuamini
From the album: Victorious Journey (Chapter 1) [Live]
-
Safari Ya Ushindi - Live by Neema Gospel Choir , -
Victory Declaration - Live by Neema Gospel Choir , -
Bado Nakuamini - Live by Neema Gospel Choir , -
Tubariki Leo - Live by Neema Gospel Choir , -
Tunatabiri - Live by Neema Gospel Choir , John Kavishe , -
Chukwu Oma - Live by Neema Gospel Choir , Rehema Simfukwe , -
Nikurejeshee - Live by Neema Gospel Choir , -
Sitalia - Live by Neema Gospel Choir , -
Jina Tamu - Live by Neema Gospel Choir , Pastor Josiah , -
Mbinguni Itakuwaje? - Live by Neema Gospel Choir , -
Sisi Ni Wale - Live by Neema Gospel Choir , -
Yahweh - Live by Neema Gospel Choir , -
Permanent - Live by Neema Gospel Choir ,