Muziki

Muziki a song by Darassa on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Muziki by Darassa

Muziki Lyrics

[00:06.42] Rudi utotoni
[00:07.65] Usipotembea utabebwa mgongoni
[00:09.65] 255 champion boy niite Mbwana Samatta
[00:14.51]
[00:23.38] Wanaota mapembe waongezee mkia
[00:25.67] Na ukinibeep tu nakupigia
[00:27.56] An' let me make one thing clear
[00:29.97] Blaa blaa sitaki kusikia
[00:32.26] So simba so chui so mamba (Hhah)
[00:34.73] Ngozi yangu inatosha kujigamba (Hhah)
[00:37.01] Na sina maneno ya kwenye kanga
[00:38.65] Ni kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa
[00:40.94] Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa
[00:43.58] Sinzia fegi uchome kibanda
[00:45.75] Kalale uote ndoto zako za kitanda
[00:48.19] Sisi bado tupo macho mida ya wanga
[00:50.42] Funga mkanda
[00:51.58] Kaza na kamba
[00:52.53] Ama ufate nyayo uchane msamba
[00:55.08] Pasua miamba
[00:56.15] Pasua anga
[00:57.23] Tunasemaga chambua kama karanga
[00:59.47] Maisha na muziki acha maneno weka muziki
[01:04.77] Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki, (yeeeeah)
[01:09.96] Safari na muziki (heah)
[01:11.66] Acha maneno weka muziki (yeeeah)
[01:14.76] Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
[01:17.55] Bambataaa shika kamataa
[01:20.46] Pumba chakacha
[01:22.92] Kaboka mchizi nshadataa nshadataaah
[01:25.49] Unataka kukimbia na hauna brekii
[01:29.23] What do you expect?
[01:31.75] Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki
[01:33.64] Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make
[01:36.08] Watch youtself usije ukajiconfuse
[01:38.43] Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues
[01:40.72] Huna mchuzi no excuse
[01:42.94] Maisha yetu ya kila siku kama vile movie
[01:45.20] Vitu vingine havitakagi ujuaji
[01:46.98] Utajikuta unatandikia watu jamvi
[01:49.57] Kusubiria embe chini ya mnazi
[01:52.02] Kumuelewesha chizi utajipa kazi
[01:54.33] Funga mkanda
[01:55.52] Kaza na kamba
[01:56.61] Ama ufate nyayo uchane msamba
[01:58.99] Pasua miamba pasua anga
[02:01.41] Tunasemaga chambua kama karanga (uwiiiiiii)
[02:05.03] Maisha na muziki acha maneno weka muziki
[02:08.07] Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (yeeeeah)
[02:13.55] Safari na muziki (yeeeah)
[02:15.62] Acha maneno weka muziki, (yeeeah)
[02:18.32] Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
[02:21.49] Wanatamani tupotee kwenye map
[02:23.70] Tunapeleka game to the top top
[02:26.50] Is that I told yah, that we don't stop
[02:28.94] We don't stop, we don't stop
[02:30.97] Wanatamani tupotee kwenye map
[02:33.66] Tunapeleka game to the top top
[02:35.89] Is that I told yah,that we don't stop
[02:38.02] We don't stop, we don't stop
[02:55.88]

From the album: Top tracks