Zuwena

Zuwena a song by Diamond Platnumz on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Zuwena by Diamond Platnumz

Zuwena Lyrics

[00:10.23] Habari gani kaka? Naamini unanisikia
[00:15.38] Mi mzima wa afya, mama Mungu anasaidia
[00:19.54] Toka ulipotuacha, mahututi anazidiwa
[00:23.70] Bibi presha-presha nae akatangulia
[00:29.02] Bado twakuombea ulale salama pema
[00:33.03] Japo moyoni nna dukuduku
[00:35.58] Natamani kusema, niseme eeh
[00:41.27] Zile mali wosia ulizotuhusia, tuligawa salama
[00:45.65] Zuwena zote tukampatia, tusiwe ndugu lawama
[00:49.79] Ila Zuwena kaka, amebadilika sana
[00:55.93] Yani shem lake bi Zu' wa leo sio yule wa jana
[00:59.77] Natamani ungemuona (Zuwena)
[01:02.36] Japo ungemuona (Zuwena)
[01:04.35] Kidogo tu ungemuona (Zuwena)
[01:07.03] Ungemuoona (Zuwena)
[01:09.45] Oh, ungemuona (Zuwena)
[01:11.74] Ah, zuwena (Zuwena)
[01:13.60] Ooh, ungemuonaa (Zuwena)
[01:15.96] Zuwena, ooh
[01:18.82]
[01:27.57] Mmh, Zuwena sasa kawa chotara
[01:30.81] Sio tena cheusi mangara
[01:33.08] Ngozi kaichubua awe Muzungu
[01:35.55] Anavuta na sigara
[01:37.41] Mara Boko, Mwananyamala
[01:40.03] Anachezesha tu miamala
[01:42.11] Kutwa anaisugua kipepe rungu
[01:44.77] Tena peku bila ndala
[01:46.39] Ah, Zuwena skuizi anabandika kope (Zuwena)
[01:50.99] Zuwena mipasuo kama yote (Zuwena)
[01:55.59] Oh, Zuwena lipa shika tuondoke (Zuwena)
[01:59.92] Ah, Zuwena wanamuita chawote, ooh-ooh
[02:05.33] Juzi kabebwa kwa jirani ata hajitambui (Zuwena)
[02:09.98] Yani kalewa tafarani kautwika mbwii (Zuwena)
[02:14.65] Zuwena sio tena wa ibada na dini
[02:17.04] Sadaka chenji asaidie
[02:19.10] Skuizi kageuka pedeshee wa mjini
[02:21.80] Kutunza bendi wamsifie
[02:23.82] Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia ngombe
[02:28.19] Skuizi kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe
[02:32.95] Mama Tete kitandani hawezi ata kutembea
[02:37.52] Zuwena ameshindwa ata kuja kumuona, Panadol kumletea
[02:41.21] Natamani ungemuona (Zuwena)
[02:43.82] Japo ungemuona (Zuwena)
[02:45.69] Kidogo tu ungemuona (Zuwena)
[02:48.87] Ungemuoona (Zuwena)
[02:50.65] Oh, ungemuona (Zuwena)
[02:54.34] Ah, zuwena (Zuwena)
[02:55.01] Ooh, ungemuonaa (Zuwena)
[02:57.65] Zuwena, ooh
[03:08.40] Skuizi kataradadi
[03:10.09] Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
[03:13.66] Anajiita J.Lo
[03:14.99] Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
[03:17.94] Eti mzungu mweusi
[03:19.49] Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
[03:22.12] Na anatunyoosha baba
[03:24.05] Anadanga, anakula ndizi kwa maganda
[03:27.97]

From the album: Afropop