Huu Kijana

Huu Kijana a song by Wakadinali on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Huu Kijana by Wakadinali

Huu Kijana Lyrics

[00:06.75] Yoh, all along all along wanaliutifin east
[00:12.37] Hizi streets huu kijana
[00:13.76] Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi
[00:16.45] Na hatubanji area jamo na hatujuani
[00:18.06] Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo
[00:21.13] Na hii pose inaglow huu kijana
[00:22.90] All along all along wanaliutifin east
[00:25.93] Hizi streets huu kijana
[00:27.36] Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi
[00:29.94] Na hatubanji area jamo na hatujuani
[00:32.59] Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo
[00:35.14] Na hii pose inaglow
[00:35.73] Ha, ha, tangu zile vako those days
[00:38.35] Hata nakunjiva still na bado wako njeits
[00:40.80] Ha, no filter nikikemba menje
[00:43.08] High school nilikuwanga Dr. Mwenje
[00:45.27] We jua, ah, uko nje
[00:47.43] Ndio nijiumize kichwani labda finje finje
[00:49.53] Aaay, hii ndio life ya jiji
[00:51.92] Mnguna ka ni poko halali kwa baridi
[00:54.31] Nditni, speedy, mristi, mdigi
[00:56.69] We ain't kidding kwani we ni chizi nini?
[00:58.91] Blinking nini, bling bling mingi mangiri nikro denge danger dingy
[01:03.63] Uh, God bless the king, long live the queen
[01:05.98] Sky larkin' bila Clarks mi si Aladdin
[01:08.65] Zozanga bad B kama kawa mi ni zing
[01:10.42] Dr. Ring ding brrr this daily thing
[01:12.52] Yoh, all along all along wanaliutifin east
[01:16.39] Hizi streets huu kijana
[01:18.29] Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi
[01:20.50] Na hatubanji area jamo na hatujuani
[01:22.74] Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo
[01:24.77] Na hii pose inaglow huu kijana
[01:27.37] All along all along wanaliutifin east
[01:29.79] Hizi streets huu kijana
[01:31.62] Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi
[01:34.68] Na hatubanji area jamo na hatujuani
[01:36.49] Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo
[01:38.76] Na hii pose inaglow huu kijana
[01:40.34] Kama kawa tunajituma kwa sana
[01:42.23] Hatununui ganja tunaichuna kwa shamba
[01:44.95] Msupa wangu anakuwanga kagangster
[01:47.17] Akicheki mambang'a anasundaga kwa haga
[01:49.25] Tunaweza kukutuma we fala, huu kijana amekuja ni kama
[01:53.40] Ametumwa ubaya, si hatunanga haya
[01:55.68] By the way, mi na msupa wako hatujawachana
[01:58.24] Baada ya mboka hio ganji nijenge
[02:00.37] Nakuja na mboga ongeza maji sembe
[02:02.70] Walijaribu kutukazia tenee, ni warazi munaweza kalia kende
[02:07.58] I keep fighting usiku na mchana mi ni viking
[02:10.69] If I die I go to Valhalla
[02:12.22] 20k kwa ma Adidas sijavaanga, beef kibao inafanya nadai vana
[02:16.47] Yoh, all along all along wanaliutifin east
[02:20.41] Hizi streets huu kijana
[02:21.76] Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi
[02:24.54] Na hatubanji area jamo na hatujuani
[02:26.46] Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo
[02:28.98] Na hii pose inaglow huu kijana
[02:30.98] All along all along wanaliutifin east
[02:33.84] Hizi streets huu kijana
[02:35.48] Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi
[02:38.47] Na hatubanji area jamo na hatujuani
[02:40.28] Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo
[02:43.04] Na hii pose inaglow huu kijana
[02:44.34] Huu kijana ako lit, huu kijana ni riet
[02:47.68] Huu kijana ako biz, time yake usiiwaste
[02:49.67] Thor alinishow "what you see is what you get"
[02:51.72] Chenye naeza lose today by tomorrow naeza iget
[02:54.07] Slave niligraduate sai nafanya master's degree
[02:56.13] Fanya bidii ndio uachieve ka mi
[02:58.96] Ficha kila kitu tenje, njuta, shati hadi bling, eh
[03:01.80] Jif-jif-jifanye maskin'
[03:03.67] High sana kama Titus Naikuni
[03:05.24] Mi ndio aliniachia nihead Project Mawingu
[03:07.76] Uh, uh boomerang niliacha iende ikarudi
[03:10.17] Flight 420 ilibidi nicatch by saa kumi
[03:12.82] Unanimezeshea ukinimezesha hizo vitu
[03:14.99] Ice bloody nyekundu nakaa vampire usiku
[03:16.83] Ka uninitaja, ka uninitaja, ka uninitaja riu
[03:21.43]

From the album: NDANI YA COCKPIT 3