Sikutambui

Sikutambui a song by Wakadinali on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Sikutambui by Wakadinali

Sikutambui Lyrics

[00:02.55] Big Beats Afriq
[00:06.16] For real
[00:07.21] Mbona ni nyinyi nawawasha
[00:08.95] Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker
[00:11.95] Bro amejituma ako kazini anaisaka
[00:14.23] But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?
[00:17.38] Woi! Aki si Kenya kuna content
[00:19.54] Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote
[00:22.39] Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope
[00:24.82] Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
[00:27.84] Normally shembeteng, ma molly kwa Heineken
[00:30.38] When am me, you're my friend
[00:32.06] We got rich in the ends
[00:33.13] Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun
[00:36.13] Ka huamini tuko lose ulize aling'am
[00:38.78] Si ni maburglar for sure na hii si siri
[00:41.75] Balaclava huezi nijua kwa CCTV
[00:43.95] Bro nikimwambia haskii na ye' si kiziwi
[00:46.67] Ka si biz utanipata nimesare sikimbizwi
[00:48.82] Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
[00:51.31] Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
[00:53.71] Njege masanse hawatutaki
[00:56.44] Ka hunitambui sikutambui
[00:58.86] Wazing wako na waks ka unang'am,na mawaks ka unang'am
[01:01.32] Na mawaks ka unang'am, na una
[01:04.02] Wazing wako na waks ka unang'am
[01:05.73] Na mawaks ka unang'am
[01:06.81] Na mawaks ka unang'am, na una
[01:09.27] Bora na waks wathara
[01:10.62] Ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara
[01:14.23] After masjid masti ikilost
[01:16.73] Easich wazing tunapiga baroda na kigwara
[01:19.48] Tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost
[01:22.35] Hizo mangoto six feet deep, deep ni vile alimarwa
[01:25.19] Homeboyz hapana taka mchezo ati nahama
[01:27.64] Tomboys bomboclaat bado unazimarwa
[01:29.89] Baroda sarе kindipi tukishoot hizo masaa
[01:32.67] Minus warazi tuna-addingi ma ombre
[01:34.88] Sitaki news joh mheshimiwa kuliеndaje tena jamaa?
[01:37.38] Divide makazi zi-times-ingi to the jobless
[01:40.00] What about QCCBs?
[01:42.83] How about Gen Z how about that?
[01:45.97] What about QCCBs?
[01:48.16] How about Gen Z how about that?
[01:50.66] Kuna pahali nafaa kwenda na ni sahii
[01:53.41] Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
[01:55.94] Njege masanse hawatutaki
[01:58.62] Ka hunitambui sikutambui
[02:00.77] Wazing wako na waks ka unang'am,na mawaks ka unang'am
[02:03.71] Na mawaks ka unang'am, na una
[02:05.65] Wazing wako na waks ka unang'am
[02:08.88] Na mawaks ka unang'am
[02:11.53] Yo, tunadrip design tumekuwa maplumber
[02:14.39] Tunabeef joh, sidhani ka mtaezana
[02:17.05] Labda p-stock ama kofi ka ya Anan
[02:20.06] Pigia Skillo tuchukue maskan ka za das
[02:22.42] Mi ni pro kwa hii shit si ati najigas
[02:25.28] Kuna bro amejipinkia AP na ngiwap
[02:27.68] Mili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap
[02:30.49] Tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps
[02:33.11] Moshi moja ya pili ya utat na unakuf kuf
[02:35.50] Tuko holy masoldier, matroop na ma crew crew
[02:38.02] Unang'am? Unang'am?
[02:40.79] Uli-ulidai ati una kitu na
[02:44.06] Una makali na graph yetu inaimprove
[02:46.02] Speed flani Kawasaki nikikam through
[02:48.63] Kama lightning, tukijam ni kustrike tu
[02:50.95] Kuthigitha warazi ndo kitu si hu-do
[02:54.20] Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
[02:56.41] Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
[02:59.24] Njege masanse hawatutaki
[03:01.70] Ka hunitambui sikutambui
[03:05.14] Wazing wako na waks ka unang'am,na mawaks ka unang'am
[03:08.32] Na mawaks ka unang'am, na una
[03:09.47] Wazing wako na waks ka unang'am
[03:11.81] Na mawaks ka unang'am, na una
[03:13.23] Wazing wako na waks ka unang'am
[03:15.82] Na mawaks ka unang'am
[03:17.13] Na mawaks ka unang'am, na una
[03:19.61] Wazing wako na waks ka unang'am
[03:21.54] Na mawaks ka unang'am
[03:22.78] Na mawaks ka unang'am, na una
[03:23.10]

From the album: NDANI YA COCKPIT 3