Aroma (Sewersydaa)

Aroma (Sewersydaa) a song by Wakadinali on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Aroma (Sewersydaa) by Wakadinali

Aroma (Sewersydaa) Lyrics

[00:03.63] Brrt
[00:08.91] Eeh joh
[00:09.87] The art of war
[00:15.22] Never go to war in an empty stomach (Never never)
[00:18.43] Uki-abusiwa Rome juwa Rome ni ya Romans
[00:22.23] Kienyeji ako top ana miss tu romance
[00:26.08] Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
[00:29.55] Ndom yako hainanga aroma
[00:31.59] Hio ndom haina aroma
[00:33.74] Straight up na sipigi corner
[00:35.09] Nataka ndom ina aroma
[00:36.77] Ndom yako hainanga aroma
[00:38.58] Hio ndom haina aroma
[00:40.48] Straight up na sipigi corner
[00:42.30] Nataka ndom ina aroma
[00:44.23] Kuna baridi tuna freeze
[00:46.17] Ukame still, ma ng'ombe zinatoa ribs
[00:48.36] Mapedi wako biz wanakinda ma riz
[00:50.26] Wengine wana tuingiza na spliff
[00:51.81] Ilibidi niingie Eastleigh nikinde sling, at least nichukue ya stick
[00:55.54] Madiwa wame-stop mawada huko chini, nichi, chini kwa tips
[00:59.02] Scene, tukipiga tunahama
[01:01.27] Na tuna achanga hio dipo lawama (Lawama)
[01:03.31] Hatuna kakitu, laana tunarushianga fam' ya kamwana
[01:06.55] Nukisha kisanda landlord anamblein harufu ya marijuana
[01:10.09] Ooh sana, adi akatuma wife yake akam tu preachia Hosanna
[01:14.03] Chain huwa haipitishwi na nyuma
[01:15.39] Ngwai inapasiwangwa pande left
[01:17.55] Na ka uliskia ni rumours, ati uliona, ukanusa na huna evidence
[01:21.16] Zangu ni Quiver, Quiver, Reggae ikishika tunauguzanga picha
[01:24.91] Labda tukuwache negative, ambia Dj si ndio tulibeba ma mixer
[01:28.68] Never go to war in an empty stomach
[01:32.27] Uki-abusiwa Rome juwa Rome ni ya romance
[01:36.09] Kienyeji ako top ana miss tu romance
[01:39.61] Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
[01:43.50] Ndom yako hainanga aroma
[01:45.42] Hio ndom haina aroma
[01:47.19] Straight up na sipigi corner
[01:49.06] Nataka ndom ina aroma
[01:50.92] Ndom yako hainanga aroma
[01:52.53] Hio ndom haina aroma
[01:54.55] Straight up na sipigi corner
[01:56.20] Nataka ndom ina aroma
[01:58.11] Sidai makasiriko kaskie vibaya na huko
[02:01.74] Saa hii tukona Ruto
[02:02.70] Acha tuone kama atajaza ama atachimba hio loophole
[02:04.94] By the way nani alioa uko?
[02:06.52] Saa hii ningekuwa nimeivisha hio ngoso
[02:08.57] Tv yangu haijawai onwa mboso
[02:10.11] Laptop passcode joh hukuwanga local
[02:12.03] Niko tempted kuoa goshodo
[02:13.63] Ass na top yake, what a combo
[02:16.94] Mziza na uko kwa vyombo?
[02:18.21] Enyewe vita zingine ni za roho
[02:20.25] Anapenda kunirombosea, nika anataka mi nipigane na riong'o
[02:24.08] System ina force njaa
[02:25.30] Iliforce jam, ndio nikachukua Psalms
[02:27.68] Traffic cop hakumind though
[02:29.38] Hii record mtaichezea kwa vinyl
[02:31.25] Kuna chizi alishitia urinal
[02:32.84] Wanapenda nikiwatusi in high note (Umbwa!)
[02:34.99] Kesi ya weed pelekeni high court, kama mnaona ina wa appeal
[02:38.74] Si ndio ma white rhino, na sioni anytime kama tuta-go extinct
[02:42.21] Never go to war in an empty stomach
[02:46.49] Uki-abusiwa Rome juwa Rome ni ya romance
[02:49.75] Kienyeji ako top ana miss tu romance
[02:53.52] Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
[02:57.32] Ndom yako hainanga aroma
[02:59.24] Hio ndom haina aroma
[03:00.88] Straight up na sipigi corner
[03:03.04] Nataka ndom ina aroma
[03:04.68] Ndom yako hainanga aroma
[03:06.34] Hio ndom haina aroma
[03:08.44] Straight up na sipigi corner
[03:10.39] Nataka ndom ina aroma
[03:11.99]

From the album: NDANI YA COCKPIT 3