Sijalewa

Sijalewa a song by Harmonize on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Sijalewa by Harmonize

Sijalewa Lyrics

[00:16.26] Huyo Ex Wakunifanya Ninywe Nilewe Mbona Simuoni (Simuoni)
[00:24.88] Mawazo Ya Kunifanya Ninywe Nilewe Me Siyaoni (Siyaoni)
[00:33.29] Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
[00:37.68] Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
[00:41.63] Mmh Thanks Baba God For The Blessing
[00:44.12] Am Living My Life No Stress
[00:46.28] Music Is Just My Dream Am Chasing
[00:48.69] Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
[00:50.31] Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat
[00:52.51] Piano Za Kisasa Na Tbt
[00:54.56] Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi
[00:56.64] You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
[00:58.87] Leoooo
[00:59.73] Sijalewaaa
[01:01.36] Sijalewa
[01:03.76] Sijalewa
[01:05.48] Me Nafanya Kusudi
[01:07.88] Sijalewaaa
[01:10.17] Sijalewa
[01:12.58] Sijalewa
[01:14.07] Me Nafanya Kusudi Tuu
[01:16.90]
[01:26.32] (Aeee Aeee)
[01:28.12] Siku Nikilewa Mtajua Mbona Mtajua
[01:33.05] Mmh
[01:34.65] (Aeee)
[01:35.88] Kuna Mtu Hichi Kichwa Anakisumbua Siku Iyo Mtamjua
[01:42.26] Mwenzenu Pombe Nishaacha Kuvuta Nishaacha
[01:46.79] Ila Mapenzi Siwezi Acha Japo Yananiumiza
[01:50.92] Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
[01:55.38] Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
[01:59.74] Mmh Thanks Baba God For The Blessing
[02:02.19] Am Living My Life No Stress
[02:04.16] Music Is Just My Dream Am Chasing
[02:06.14] Ukisikia Nimelewa Ni Tetesi
[02:07.97] Ona Ninavyo Nata Aah Na Beat
[02:10.28] Piano Za Kisasa Na Tbt
[02:12.16] Mwendo Wa Kwaito Tunayarudi
[02:14.46] You Can Tell Sijalewa Ni Kusudi
[02:16.37] Leoooo
[02:17.55] Sijalewaaa
[02:19.16] Sijalewa
[02:21.83] Sijalewa
[02:23.40] Me Nafanya Kusudi
[02:25.63] Sijalewaaa
[02:27.65] Sijalewa
[02:30.04] Sijalewa
[02:31.68] Me Nafanya Kusudi Tuu
[02:34.61]
[02:40.23] The mix killer
[02:42.52] Na Ukiniona Nipo Kiwanja Nipo Hapa Kuruka Kwanja
[02:46.85] Mara Moja Moja Navutaga Ganja Jicho Likae Kijanja
[02:49.19]

From the album: Visit Bongo