Sijui
Sijui a song by Harmonize on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone
Sijui Lyrics
[00:01.34] Konde boy call me number one
[00:13.61] Bakhresaaa
[00:16.69] Mmmh
[00:19.85] Picha na tattoo nitazifuta na kama pesa nitatafuta
[00:24.22] Vipi kuhusu upendo wangu wa dhati
[00:28.22] Wambea kama nawaona wakinisuta kiko wapi yamemkuta
[00:34.15] Pindi nitakapokuwa sio tena wako wa dhati
[00:37.38] (Mmmh)
[00:38.35] Mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tanga
[00:41.78] Nahisi wanakosea babe wangu wanamuonea
[00:46.54] (Babe)
[00:47.74] Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kulia
[00:54.29] Kuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzako
[01:00.39] Nikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia
[01:05.05] (Me na wewe)
[01:06.44] Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no
[01:09.71] (Nasema sijui iih)
[01:11.94] Mfano naweza namuachia nani
[01:14.16] (Yeyeyee)
[01:15.36] Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani
[01:18.75] (Sijui kama ntaweeeza)
[01:21.10] Mfano naweza namuachia nani
[01:23.66] (Iih iiih iiiih)
[01:28.20] It feels like am falling love for the first time
[01:30.09] Am never seen love this before yes for sure
[01:33.46] (Mmmh)
[01:36.68] Yupo wapi yupo wapi mzuri wakumshinda babe wangu yuko wapi
[01:42.27] Ooh yupo wapi anaejua thamani ya pendo langu yupo wapi
[01:46.52] Nauliza yupo wapi ama mimi nimeshadate na wangapi yupo wapi
[01:51.22] Ooh yupo wapi yupo wapi nimuone anaenijua mimi hakuna
[01:57.47] Wengi wanakuja kunichuna wakijua kwamba pesa hakuna
[02:02.16] Mara watanuna na kisa hakuna mape mapeenzi
[02:06.14] Mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tanga
[02:09.56] Nahisi wanakosea babe wangu wanamuonea
[02:14.61] (Babe)
[02:15.86] Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kulia
[02:22.08] Kuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzako
[02:28.67] Nikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia
[02:34.65] (Me na wewe)
[02:36.43] Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no
[02:39.74] (Nasema sijui iih)
[02:41.90] Mfano naweza namuachia nani
[02:43.98] (Yeyeyee)
[02:45.14] Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani
[02:47.69] (Sijui kama ntaweeeza)
[02:51.33] Mfano naweza namuachia nani
[02:53.88] (Iih iiih iiiih)
[02:55.31] It feels like am falling love for the first time
[02:59.16] Am never seen love this before yes for sure
[03:06.15]

From the album: Visit Bongo
-
Tena by Harmonize , -
Dear X by Harmonize , -
Personal Trainer by Harmonize , -
Sijalewa by Harmonize , -
Hallelujah by Harmonize , -
Best Woman by Harmonize , -
Side Niggah by Harmonize , -
Sijalewa by Harmonize , -
Boss by Harmonize , -
Wangu Mimi by Harmonize , -
Zanzibar by Harmonize , -
Sijui by Harmonize , -
Tena by Harmonize , -
Hawaniwezi by Harmonize , B Boy Beats , Harmonize , -
Dear X by Harmonize , -
Single Again - Remix by Harmonize , Nkosazana Daughter , DJ Tarico ,