Dear X

Dear X a song by Harmonize on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone

Dear X by Harmonize

Dear X Lyrics

[00:07.70] Inaniumiza
[00:10.25]
[00:12.41] Hellow
[00:15.72] Heeey
[00:16.62] Hello Dear Ex
[00:17.90] Nimepata tetesi
[00:20.29] Za kwamba unanisema
[00:22.66] Ili nionekane si mwema
[00:24.76] Pengine una stress
[00:26.64] Maana umekonda mwepesi
[00:28.91] Kwangu ukimya si ukilema
[00:31.27] Ila nachunga vya kusema
[00:33.21] Maana niliubeba msalaba
[00:35.42] Ikawa mi ndo mama mi ndo baba
[00:37.84] Nikajichanga tujaze kibaba
[00:40.14] Mbona hausemi
[00:41.91] Kiume nilishukuru
[00:44.65] Nikapangusa matako nikakuacha uende
[00:47.18] Ukawe huru
[00:48.53] Range na duka ni vyako
[00:50.36] Nibaki na makende
[00:51.65] Na kama ulidhani ntafeli
[00:53.59] Unangoja basi uko feri
[00:55.52] Siku nikilewa mitasema ukweli
[00:57.56] Nchi ilivyogo na matapeli
[00:59.67] Sina hasira wala kinyongo
[01:02.05] Ila sipendi uongo
[01:04.16] Vijembe jembe na madongo
[01:06.40] Ukitaka kutrend
[01:08.27] Raundi hii hainaga
[01:09.63] Hainaga kutia huruma
[01:14.00] Hainaga kutia
[01:16.07] Hivi tuseme ndo nimejipata
[01:18.65] Hainaga kutia huruma
[01:20.82] Haina Haaiiiiiii
[01:22.10] Hainaga kutia
[01:25.05] Maana mbona nazidi kutakata
[01:27.41] Hainaga kutia huruma
[01:29.27] Hainaga Haaiiiiii
[01:32.51] Hainaga kutia
[01:33.66] Haiiiiiii
[01:35.88] Hainaga
[01:36.79] Hainaga kutia huruma haina
[01:38.47] Haiiiiiii Haiiiiiii
[01:40.70] Hainaga kutia
[01:43.58]
[01:45.73] Peke yangu nisingeweza
[01:48.11] Nisingeweza
[01:49.81] Kuna kitu Mungu kaniongeza
[01:52.58] Kaniongeza
[01:54.00] Ona nazidi kupendeza
[01:56.55] Ninapendeza
[01:58.45] Na niko bize na Feza
[02:01.05] Unacheka cheka tukuone ume-move on
[02:04.45] Mara unatuonyesha vya nguoni
[02:06.98] Uhali gani uko moyoni sema sema
[02:09.72] Unacheka cheka tukuone ume-move on
[02:13.52] Mara unatuonyesha vya nguoni
[02:15.83] Uhali gani uko moyoni sema sema
[02:19.38] Na kama ulidhani ntafeli
[02:21.53] Unangoja basi uko feri
[02:23.20] Siku nikilewa mitasema ukweli
[02:25.42] Nchi ilivyogo na matapeli
[02:27.53] Sina hasira wala kinyongo
[02:29.68] Ila sipendi uongo
[02:32.07] Vijembe jembe na madongo
[02:34.15] Ukitaka kutrend
[02:35.89] Raundi hii hainaga
[02:37.63] Hainaga kutia huruma
[02:40.27] Hainaga kutia
[02:43.86] Hivi tuseme ndo nimejipata
[02:46.65] Hainaga kutia huruma
[02:48.63] Haina Haaiiiiiii
[02:50.75] Hainaga kutia
[02:52.84] Maana mbona nazidi kutakata
[02:55.20] Hainaga kutia huruma
[02:56.96] Hainaga Haaiiiiii
[02:59.37] Hainaga kutia
[03:01.61] Haiiiiiii
[03:02.58] Hainaga
[03:04.15] Hainaga kutia huruma haina
[03:06.41] Haiiiiiii Haiiiiiii
[03:08.13] Hainaga kutia
[03:10.11] The End
[03:10.39]

From the album: Visit Bongo