Tulizana (feat. Njenje Kilimanjaro Band)
Tulizana (feat. Njenje Kilimanjaro Band) a song by Mbosso on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone
Tulizana (feat. Njenje Kilimanjaro Band) Lyrics
[00:01.37] Eeeh, mmmh, eeh
[00:09.15] Ana vidimple dimple
[00:10.88] Vishimo shimo mashavuni
[00:12.84] Mikononi vipiko piko
[00:15.32] Eti kipini kipo kitovuni
[00:18.12] Ya nini nibaki kiwiliwili
[00:20.68] Na kichwa changu ni wewe
[00:22.97] Iweje pendo kwao liwe pilipili
[00:25.74] Na twakula wenyewe
[00:27.96] Mungu kakuumba
[00:29.75] Mithili ya malaika yayaya
[00:32.45] Samaki wa kukunja
[00:34.11] Chumbani unanyumbulika yaya
[00:37.76] Kwa penzi usitie kibanzi
[00:40.01] Kitaniumiza ah
[00:42.47] Upendo ukawa kitanzi
[00:45.13] Nikajining'iniza aah
[00:47.58] Ikienda mrama irudishie
[00:49.61] (Popoa popoa dodo)
[00:52.04] Ikikwama kwama isukumie
[00:54.12] (Popoa popoa dodo)
[00:56.91] Tulizana
[00:58.66] Tulizana mpenzi tupendane
[01:02.96] Tulizana mpenzi tupendane
[01:08.25] Tulizana mpenzi tupendane
[01:12.51] Tulizana mpenzi tupendane
[01:26.37] Kama nyota na mwezi
[01:29.42] Vilo mwana na angani
[01:32.29] Tung'arishe penzi letu sote
[01:36.33] Tupeane penzi bila choyo chochote
[01:40.72] Na bila hiana kwetu sote
[01:45.97] Elewa mapenzi ni chombo
[01:51.09] Kinachotuunganisha
[01:55.70] Ni chombo kinachosafiri
[02:00.51] Kati ya mioyo yetu miwili ilothibiti
[02:05.52] Tulizana mpenzi tupendane
[02:10.13] Tulizana mpenzi tupendane
[02:14.60] Tulizana mpenzi tupendane
[02:19.59] Tulizana mpenzi tupendane
[02:33.17] Ikienda mrama irudishie
[02:36.06] (Popoa popoa dodo)
[02:38.54] Ikikwama kwama isukumie
[02:40.71] (Popoa popoa dodo)
[02:55.87]
[00:09.15] Ana vidimple dimple
[00:10.88] Vishimo shimo mashavuni
[00:12.84] Mikononi vipiko piko
[00:15.32] Eti kipini kipo kitovuni
[00:18.12] Ya nini nibaki kiwiliwili
[00:20.68] Na kichwa changu ni wewe
[00:22.97] Iweje pendo kwao liwe pilipili
[00:25.74] Na twakula wenyewe
[00:27.96] Mungu kakuumba
[00:29.75] Mithili ya malaika yayaya
[00:32.45] Samaki wa kukunja
[00:34.11] Chumbani unanyumbulika yaya
[00:37.76] Kwa penzi usitie kibanzi
[00:40.01] Kitaniumiza ah
[00:42.47] Upendo ukawa kitanzi
[00:45.13] Nikajining'iniza aah
[00:47.58] Ikienda mrama irudishie
[00:49.61] (Popoa popoa dodo)
[00:52.04] Ikikwama kwama isukumie
[00:54.12] (Popoa popoa dodo)
[00:56.91] Tulizana
[00:58.66] Tulizana mpenzi tupendane
[01:02.96] Tulizana mpenzi tupendane
[01:08.25] Tulizana mpenzi tupendane
[01:12.51] Tulizana mpenzi tupendane
[01:26.37] Kama nyota na mwezi
[01:29.42] Vilo mwana na angani
[01:32.29] Tung'arishe penzi letu sote
[01:36.33] Tupeane penzi bila choyo chochote
[01:40.72] Na bila hiana kwetu sote
[01:45.97] Elewa mapenzi ni chombo
[01:51.09] Kinachotuunganisha
[01:55.70] Ni chombo kinachosafiri
[02:00.51] Kati ya mioyo yetu miwili ilothibiti
[02:05.52] Tulizana mpenzi tupendane
[02:10.13] Tulizana mpenzi tupendane
[02:14.60] Tulizana mpenzi tupendane
[02:19.59] Tulizana mpenzi tupendane
[02:33.17] Ikienda mrama irudishie
[02:36.06] (Popoa popoa dodo)
[02:38.54] Ikikwama kwama isukumie
[02:40.71] (Popoa popoa dodo)
[02:55.87]
From the album: Definition Of Love
-
Mtaalam by Mbosso , -
Kiss Me by Mbosso , -
Baikoko (feat. Diamond Platnumz) by Mbosso , Diamond Platnumz , -
Tulizana (feat. Njenje Kilimanjaro Band) by Mbosso , Njenje Kilimanjaro Band , -
Yalah by Mbosso , -
Sakata (feat. Flavour) by Mbosso , Flavour , -
Pakua (feat. Rayvanny) by Mbosso , Rayvanny , -
Karibu (feat. Diamond Platnumz) by Mbosso , Diamond Platnumz , -
Your Love (feat. Liya) by Mbosso , Liya , -
Kadada (feat. Darassa) by Mbosso , Darassa , -
Yes (feat. Spice Diana) by Mbosso , Spice Diana , -
Nipo Nae by Mbosso , -
Limevuja by Mbosso , -
Kamseleleko (feat. Baba Levo) by Mbosso , Baba Levo ,