Limevuja
Limevuja a song by Mbosso on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone
Limevuja Lyrics
[00:11.71] Oooh, oooh maya aah
[00:15.93] (Nusder)
[00:18.57] Si umesema mi baniani mbaya
[00:20.95] Na uwepo wangu kwako sio dawa, haya aah
[00:26.92] Penzi nikashona tenzi na riwaya
[00:30.32] Kwenye moyo wako livae liwe sawa, limepwaya
[00:36.58] Napuliza majivu maana moto siuoni
[00:41.79] Kooni maumivu vumbi larudi machoni
[00:46.00] Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
[00:50.53] Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni
[00:55.76] Imeniponza huruma kirungi
[00:57.86] Kujitisha kumsaidia
[01:00.09] Kumbe katoboa mtungi
[01:02.42] Maji yananimwagikia
[01:04.98] Penzi limevuja tena
[01:09.29] Penzi limevuja tena
[01:13.96] Penzi limevuja tena
[01:18.94] Penzi limevuja tena aah
[01:22.66]
[01:32.33] Ulisema sikiwambaza
[01:34.94] Penzi letu ukuta wa chuma
[01:37.07] Nikitoka kiwalaza
[01:39.75] Utanistiri nywele za nyuma
[01:41.59] Mara kwa mara ulilia
[01:43.78] Kifuani umenilalia
[01:46.03] Ukijuta unayachukia
[01:49.16] Yale ulopitia
[01:51.00] Eti kama mimi hujaona
[01:53.27] Wa kufanana naye
[01:55.78] Asa mbona hukusema
[01:58.11] Kama ushakutana naye
[02:00.17] Napuliza majivu maana moto siuoni
[02:04.60] Kooni maumivu vumbi larudi machoni
[02:08.75] Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
[02:14.04] Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni
[02:18.85] Imeniponza huruma kirungi
[02:21.17] Kujitisha kumsaidia
[02:23.37] Kumbe katoboa mtungi
[02:25.74] Maji yananimwagikia
[02:27.97] Penzi limevuja tena
[02:32.67] Penzi limevuja tena
[02:37.18] Penzi limevuja tena
[02:41.73] Penzi limevuja tena aah
[02:43.67]
[00:15.93] (Nusder)
[00:18.57] Si umesema mi baniani mbaya
[00:20.95] Na uwepo wangu kwako sio dawa, haya aah
[00:26.92] Penzi nikashona tenzi na riwaya
[00:30.32] Kwenye moyo wako livae liwe sawa, limepwaya
[00:36.58] Napuliza majivu maana moto siuoni
[00:41.79] Kooni maumivu vumbi larudi machoni
[00:46.00] Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
[00:50.53] Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni
[00:55.76] Imeniponza huruma kirungi
[00:57.86] Kujitisha kumsaidia
[01:00.09] Kumbe katoboa mtungi
[01:02.42] Maji yananimwagikia
[01:04.98] Penzi limevuja tena
[01:09.29] Penzi limevuja tena
[01:13.96] Penzi limevuja tena
[01:18.94] Penzi limevuja tena aah
[01:22.66]
[01:32.33] Ulisema sikiwambaza
[01:34.94] Penzi letu ukuta wa chuma
[01:37.07] Nikitoka kiwalaza
[01:39.75] Utanistiri nywele za nyuma
[01:41.59] Mara kwa mara ulilia
[01:43.78] Kifuani umenilalia
[01:46.03] Ukijuta unayachukia
[01:49.16] Yale ulopitia
[01:51.00] Eti kama mimi hujaona
[01:53.27] Wa kufanana naye
[01:55.78] Asa mbona hukusema
[01:58.11] Kama ushakutana naye
[02:00.17] Napuliza majivu maana moto siuoni
[02:04.60] Kooni maumivu vumbi larudi machoni
[02:08.75] Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni
[02:14.04] Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni
[02:18.85] Imeniponza huruma kirungi
[02:21.17] Kujitisha kumsaidia
[02:23.37] Kumbe katoboa mtungi
[02:25.74] Maji yananimwagikia
[02:27.97] Penzi limevuja tena
[02:32.67] Penzi limevuja tena
[02:37.18] Penzi limevuja tena
[02:41.73] Penzi limevuja tena aah
[02:43.67]
From the album: Definition Of Love
-
Mtaalam by Mbosso , -
Kiss Me by Mbosso , -
Baikoko (feat. Diamond Platnumz) by Mbosso , Diamond Platnumz , -
Tulizana (feat. Njenje Kilimanjaro Band) by Mbosso , Njenje Kilimanjaro Band , -
Yalah by Mbosso , -
Sakata (feat. Flavour) by Mbosso , Flavour , -
Pakua (feat. Rayvanny) by Mbosso , Rayvanny , -
Karibu (feat. Diamond Platnumz) by Mbosso , Diamond Platnumz , -
Your Love (feat. Liya) by Mbosso , Liya , -
Kadada (feat. Darassa) by Mbosso , Darassa , -
Yes (feat. Spice Diana) by Mbosso , Spice Diana , -
Nipo Nae by Mbosso , -
Limevuja by Mbosso , -
Kamseleleko (feat. Baba Levo) by Mbosso , Baba Levo ,