Nipo Nae
Nipo Nae a song by Mbosso on Foxsoundi — Free Music, Smart Streaming for Everyone
Nipo Nae Lyrics
[00:04.72] (Ayolizer)
[00:08.16] Masikini hana fuba, hana fuba
[00:12.57] Anazeeka yule mwezangu
[00:17.75] Haamini anavyochunda anachunda
[00:22.06] Nimeondoka na nyota yangu
[00:26.90] Nafsi ilichoka madhira (Ooh madhira)
[00:32.68] Ya pundazo na fadhila (Ooh fadhila)
[00:36.93] Nimempata wa njema dhamira (Ooh dhamira)
[00:41.30] Wa kufunga magoli si wa bila (Ooh wa bila)
[00:47.07] Mmmh shata shata (Shata)
[00:48.45] Penzi limetaradadi
[00:51.32] Sina shaka (Shaka)
[00:52.90] Inyeshe na ipige radi
[00:55.35] Rasha rasha (Rasha)
[00:57.31] Kwetu mambo maji maji
[01:00.57] Baby washa washa (Washa)
[01:02.21] Waambie wanaosubiria
[01:04.97] Bado nipo nipo nae
[01:07.28] Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae)
[01:11.69] Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae)
[01:15.67] Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae)
[01:20.51] Mi bado nipo na yeye
[01:22.63] Naomba msitufuate
[01:24.41] Naomba msitufuate
[01:27.21] Naomba msitufuate
[01:29.48] Naomba msitufuate
[01:31.50] Raha, raha mustarehe
[01:34.85] Sijaomba napewa
[01:36.75] Nifikishwe nitosheke
[01:39.05] Raha kila siku sherehe
[01:43.65] Jamani nanyenyekewe
[01:46.48] Eti nile nikogeshwe
[01:48.62] Penzi birika, yake sifai ni kimiminio
[01:54.62] Ah nimeshikwa, kwenye kichwa mpaka masikio
[01:59.13] Mambo tartita, ulichosusa hakula mwenzio
[02:03.98] Mwana ana sifa, ananipa paja kwa kipapatio
[02:09.33] Amekupenda mama tulia tulia
[02:14.40] Tule zetu ni ujana, dunia dunia
[02:18.82] Mambo ya wanadama, puuzia puuzia
[02:23.43] Wapasuke bandama, sindano ishawaingia
[02:28.18] Mmmh shata shata (Shata)
[02:29.67] Penzi limetaradadi
[02:32.75] Sina shaka (Shaka)
[02:34.79] Inyeshe na ipige radi
[02:37.33] Rasha rasha (Rasha)
[02:39.47] Kwetu mambo maji maji
[02:41.86] Baby washa washa (Washa)
[02:43.85] Waambie wanaosubiria
[02:46.13] Bado nipo nipo nae
[02:48.85] Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae)
[02:52.84] Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae)
[02:57.40] Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae)
[03:02.26] Mi bado nipo na yeye
[03:04.96]
[03:21.17] (Wasafi)
[03:23.61]

From the album: Definition Of Love
-
Mtaalam by Mbosso , -
Kiss Me by Mbosso , -
Baikoko (feat. Diamond Platnumz) by Mbosso , Diamond Platnumz , -
Tulizana (feat. Njenje Kilimanjaro Band) by Mbosso , Njenje Kilimanjaro Band , -
Yalah by Mbosso , -
Sakata (feat. Flavour) by Mbosso , Flavour , -
Pakua (feat. Rayvanny) by Mbosso , Rayvanny , -
Karibu (feat. Diamond Platnumz) by Mbosso , Diamond Platnumz , -
Your Love (feat. Liya) by Mbosso , Liya , -
Kadada (feat. Darassa) by Mbosso , Darassa , -
Yes (feat. Spice Diana) by Mbosso , Spice Diana , -
Nipo Nae by Mbosso , -
Limevuja by Mbosso , -
Kamseleleko (feat. Baba Levo) by Mbosso , Baba Levo ,